Kristina wa Persia

Kristina wa Persia (alifariki 559[1]) alikuwa mwanamke wa ukoo maarufu wa Uajemi ambaye alijiunga na Ukristo akapigwa viboko akauawa na Wasasanidi chini ya mfalme Kosroe I kwa ajili ya imani yake mpya[2][3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Machi[4] au kesho yake[5].

  1. Wilmshurst (2011), p. 494, puts her death around 600, but Fiey (2004) proposes she died much earlier (around 363).
  2. Jeanne-Nicole Mellon Saint-Laurent et al., "Christine Yazdouy (text) — ܟܪܣܛܝܢܐ ܝܙܕܘܝ " in Bibliotheca Hagiographica Syriaca Electronica (2015).
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/44910
  4. Martyrologium Romanum
  5. Christina-Yazdoi, martyr in Persia, The Cult of Saints in Late Antiquity (University of Oxford, 2017).

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne